Burudani

Picha: J-Cole amekuja kufanya nini Tanzania?

Rapper wa Marekani, J-Cole ameonekana kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro Jumatano hii.

10598644_518649148285702_1801584110_n
J-Cole akiwa KIA

Haijulikani amekuja kufanya nini lakini huenda ikawa ni safari binafsi.

Mtu mmoja aitwaye Keirocker amepost picha akiwa na rapper huyo kwenye Instagram na kuandika: Wow Just ran into the rapper J COLE at the Kilimanjaro Airport I couldn’t resist to ask for a picture.. A down to earth nigga raised_handsskin-tone-5raised_handsskin-tone-5 @realcoleworld.”

Yeye mwenyewe hajapost kitu kwenye mitandao ya kijamii. Post yake ya mwisho kwenye Instagram iliwekwa November 11 mwaka jana na Twitter August 30.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents