Habari

Picha: Kariakoo kwawaka tena, mabomu ya machozi yapigwa, watu wakamatwa

Polisi waliovaa nguo za kiraia wakimkamata raia

Kwa mara nyingine tena leo kumeshuhudiwa machafuko mengine katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya polisi wa FFU kutumia mabomu ya machozi kulitawanyisha kundi kubwa la waumini wa dini ya kiislam waliokuwa wanaokena kutaka kuandamana.

Pamoja na kutofanyika kwa maandamano, mkusanyiko mkubwa wa waislam nje ya msikiti uliopo maeneo haya baada ya swala ya Ijumaa uliwafanya polisi kutumia jitihada mbalimbali kuutawanyisha na baadhi ya watu kukamatwa na polisi akiwemo sheikh mmoja.

Naye Kamanda mkuu wa kanda maalum ya Dar es Salaam, Selema

Kuna taarifa pia vibaka walitumia fursa hiyo kufanya yao.

Hizi ni baadhi ya picha ya tukio la leo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents