Burudani

Picha: Linah ashoot video ya wimbo wake ‘Tumetoka Mbali’ Shinyanga

Linah Sanga ameamua kubadili mandhari ya video zake na kuamua kutumia nafasi aliyokuwa kwenye Fiesta mkoani Shinyanga kushoot video ya wimbo wake ‘Tumetoka Mbali’ huko. Linah alisema video hiyo ambayo ipo katika hatua za mwisho za utengenezaji itatoka hivi karibuni baada ya kampuni ya Redline Production kuikamilisha. Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo.

IMG_1576
Producer Peter Mbogo kutoka Redline production akiandaa kamera kwa kazi

IMG_1577

IMG_1579
Watoto wa Shinyanga walitokezea  kwenye kamera ya bongo5

IMG_1581

IMG_1582

IMG_1584

IMG_1586

Linah akiwa kwenye gofu katika utengezaji wa “Tumetoka mbali” video

IMG_1589

IMG_1595

IMG_1597

IMG_1598

IMG_1600

IMG_1601

IMG_1607

IMG_1608

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents