Habari

Picha: Matukio yaliyojiri Bungeni mjini Dodoma leo

Alhamisi hii, katika mkutano wa tisa, kikao cha nane bungeni mjini Dodoma ilikuwa ni siku ya maswali kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa maarufu kama maswali ya ‘PAPO KWA PAPO’ambapo wabunge huuliza maswali kwa waziri huyo.Tazama picha


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu leo mjini Dodoma unapofanyika mkutano wa tisa wa kikao cha nane.


Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dk.Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Mbunge wa Karagwe(CCM) Mhe.Innocent Bashungwa wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.


Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Faustine Ndugulile akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.


Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Mhe.Hussein Bashe akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Halima Bulembo wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents