Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Picha: Mende wenye uwezo wa kufanya shughuli mbalimbali za binadamu

Mende ni moja mdudu wanaopatikana chooni, lakini unaambiwa mende aina ya ‘Spike The Beetle’ huo kutoka nchini Japani ni mende wa tofauti na wanaopatikana katika bara Asia.

Mende huyo amejipatia umaarufu kupitia mitandao wa Twitter, baada ya picha zake kusambaa akiwa anafanya shughuli mbalimbali kama kuchora, kusaidia wakati wa kupika na mengineyo.

Hizi ni picha za mende huyo.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW