Burudani
Picha: Nyumba mpya ya Rihanna aliyonunua kwa dola milioni 12
Rihanna amemwaga dola milioni 12 kununua mjengo mpya.
Muimbaji huyo wa ‘Diamonds’amenunua nyumba hiyo iliyopo huko Pacific Palisades jijini Los Angeles na kuamua kutweet jinsi alivyoipenda nyumba hiyo.
“I literally wake up every morning at 5:30ish and stare at my pool til the sun comes up! Just waiting! Is this my life.”
Nyumba hiyo ina vyumba saba, mabafu tisa na sehemu 20 za kupakia magari bila kusahau bwawa kubwa la kuogolea.