Picha: Prezzo anamiliki Lamborghini?

Prezzo 2 (600x450)

Leo kupitia Twitter rapper wa Kenya Jackson Makini aka Prezzo amepost picha inayomuonesha akiwa amesimama mbele ya Lamborghini.

Haijulikani bado kama ni ya kwake, lakini kama ni yake basi atakuwa mtu wa kwanza nchini Kenya kuwa na gari hilo la kifahari.

Katika picha hiyo Prezzo ameandika, “Iam not twee-in to brag, Iam twee-in so we can be motivated to the cash! #BlessBeautifulPeople.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents