Burudani ya Michezo Live

Picha: Rais Magufuli akutana na Bill Gates

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na tajiri namba moja duniani Bill Gates ambaye pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates, mazungumzo hayo yamefanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Pia wakati huo huo, Rais Dkt. Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Bi. Immi Patterson aliyemtembelea Ikulu.

Picha zote na Ikulu

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW