Habari

Picha: Rais Magufuli atinga nyumbani kwa Mh. Lugola kufuatia kifo cha mkewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli atia saini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Alphaxard Lugola aliyefiwa na Mkewe Mary Lugola.
Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola ambaye alikuwa Afisa Mnadhimu Kikosi cha Polisi Reli Tanzania.

Mary alifariki dunia jana tarehe 01 Januari 2018 katika hospitali ya Rabinisia Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu na msiba upo Gerezani Railway Club Jijini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents