HabariUncategorized

Picha: Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein azindua tawi la CCM Jang’ombe

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein amezindua rasmi tawi jipya la CCM la Mwembe Matarumbeta lililopo katika Wilaya ya Mjini Jimbo la Jang’ombe. Tawi la hilo limezinduliwa upya leo baada ya kufanya marekebisho wa muda kutokana na kuungua kwa moto mwishoni mwaka 2014.

Jimbo la Jang’ombe lipo katika historia ya kuongozwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume. Wakati huo huo rais Shein amewasisitiza wana CCM kuhakikisha wanatuma tawi hilo kwa manufaa ya chama hicho.

Na Laila Sued na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents