BurudaniPicha

Picha: Tamasha la Jitambue lilivyofanyika Don Bosco jijini Dar

Tamasha la Jitambue kwa mara ya kwanza limefanyika leo kwenye viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam na kushuhudia burudani kutoka kwa wasanii wakali.

Fid Q akifanya yake.
Fid Q akifanya yake

Jukwaa la tamasha hilo lilipambwa na wasanii wakiwemi Madee,Shetta,Kala Jeremiah,Young Killer, Navy Kenzo, Stereo, Young Dee, Godzilla, Vanessa Mdee na wengine wengi.
Kijana mwenye kipaji cha Dj aliomba kuonyesha manjonjo yake.
Kijana mwenye kipaji cha Dj aliomba kuonyesha manjonjo yake

Madee
Madee

Mziwanda akifanya yake .
Nuh Mziwanda akifanya yake

Rich Mavoko akifanya yake.
Rich Mavoko akifanya yake

Shetta na marafiki zake.
Shetta na marafiki zake

Shetta
Shetta

Wadau wakifuatilia show ya Jitambue
Wadau wakifuatilia show ya Jitambue

Wapenzi wa burudani wakifuatulia muziki kwa makini
Wapenzi wa burudani wakifuatulia muziki kwa makini

Wapenzi wa muziki.
Wapenzi wa muziki

Dogo Janja akiwa na marafiki zake
Dogo Janja na Gentriez

Full burudani.
Full burudani

Burudani
Burudani

Full shangwe
Full shangwe

Godzilla akichana.
Godzilla akichana

Jokate akiwa na rafiki yake.
Jokate akiwa na Esi

Kala Jeremah
Kala Jeremiah

IMG_9875

IMG_9886

IMG_9887

IMG_9900

IMG_9902

IMG_9903

IMG_9919

IMG_9924

IMG_9939

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents