Lady Jay DeePicha
Picha: Utampenda Jaydee kwenye muonekano mpya wa nywele kama Left Eye
Lady Jaydee ameshare picha za muonekano wa mtindo mpya wa nywele alionao sasa kama wa marehemu Lisa Nicole Lopes aka Left Eye aliyekuwa kundi la TLC, and she looks amazing.