Burudani

Picha: Wema Sepetu afunga ndoa na Luis Munana wa Namibia, ni movie tena?

Wema Sepetu amefunga ndoa kwa mara ya pili mwaka huu – kwenye movie bila shaka!

12063204_170966306581270_1126774933_n

Baada ya miezi kadhaa iliyopita kufunga ndoa kwenye movie na JB, Wema anaonekana kufanya movie nyingine tena ambayo anaishia kuwa mke wa mtu – at least kwa inavyoonekana kwenye Instagram.

12106218_409381579271931_1358045637_n

Awamu hii japo hajaweka wazi kama ni movie, Wema ameonekana kwenye picha na mshiriki wa Big Brother Africa The Chase Luis Munana wa Namibia.

10724124_744746642296145_697792812_n

“Smile To Change Your World , BUT Don’t Let The World Change Your Smile,” ameandika Luis kwenye Instagram.

Kwenye picha nyingine ameandika: Faheem is happy! Faheem is at Peace ! #InShaAllah.”

12093488_1515860515401637_2222744_n

Wema pia amepost picha hizo kwenye akaunti yake na kuwaacha mashabiki wakiwa na majibu yanayotofautiana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents