Habari

Picha/Video: Matukio yaliyojiri Bungeni Dodoma

Jumanne hii, katika kikao cha 32, mkutano wa 7 Bunge la 11 mjini Dodoma, wabunge mbalimbali waliuliza maswali na kujibiwa na serikali.


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.

Hizi ni picha na video za Wabunge wakiuliza na kujibiwa bungeni.


Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Muhandisi Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.

Serikali inampango wa kujenga vyuo vya ufundi katika kila wilaya hapa nchini, Je shirika lisilo la kiserikali linaweza kujenga chuo hicho katika kata ya Chuna na kuikabidhi Serikali?

Mhandisi Stella Manyanya anatoa majibu:

PICHA NA MAELEZO:

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.


Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Nyumba na Makazi akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA) katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.


Mbunge wa Newala Mjini (CCM) Mhe.Kapt.Mst George Mkuchika akiulizwa swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.


Mbunge wa Viti Maalum CCM Mhe. Juliana Shonza akiulizwa swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.


Mbunge wa Kwela Mjini (CCM) Mhe Ignas Malocha akiulizwa swali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.


Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akifafanua jambo katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 23, 2017.

Mbunge Hamad Salim Maalim, aliuliza swali hili

Miongoni mwa stahiki za Askari Polisi wanapohamishwa mkoa mmoja kwenda mwingine ni nauli za Askari iwapo mwajili atashindwa kumlipa stahiki hizo Askari huyo atapaswa kuhama kwa gharama zipi?

Waziri Mwigulu akitoa majibu ya Serikali


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akijibu maswali katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.

Je katika miaka 3 iliyopita ni wanafunzi wangapi walijiunga na Jeshi la kujenga Taifa

Swali linajibiwa na Dkt Mwinyi:


Waziri wa Maliasili na Utalii akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka 2017/2018 katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo .


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwele akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo.


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo .


Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha thelathini na Mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo .

Naibu Waziri Ole Nasha anatoa majibu ya Serikali:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents