Producer P Funk Majani afiwa na mama yake, wasanii watoa salamu za rambirambi

Mama mzazi wa Producer maarufu wa Bongofleva Paul Matthysse maarufu kama P Funk @majani187 amefariki September 08 2020 akiwa nje ya Nchi.

Mipango ya mazishi inaendelea ambapo kwa sasa msiba upo upo Kiloss Morogoro wakati mipango ya kurudisha mwili wa marehemu inaratibiwa ambapo Mwili wa Marehemu utaagwa tarehe 19 Sept 20 nyumbani kwake Bamaga Dar es salaam, mawasiliano kwa maelezo zaidi ni 0718 536747 Fadhil Kiholi na 0754 772220 Ngaiza. #RIPMamayetu 🙏🏿

Rapa Jay Moe amepost picha hiyo hapo juu Insta na kuandika “At Bongo Records…Godfather,Mkubwa Wa Kazi, CEO @majani187 Kapatwa Na Msiba Mkubwa Wa Mama Mzazi..Inna Lillah Wa Inna Illah Raajun, Allah Awape Nguvu Yeye Na Familia Yake Katika Kipindi Ichi Kigumu..R I.P Aunt Sheila,May Gob Bless Her Soul – AMEIN”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW