Tupo Nawe

Q Chief amshangaa Harmonize “Bifu la Diamond na Harmonize halijanisaidia (Video)

Msanii wa muziki Q Chief amefunguka jinsi alivyoanza kufanya kazi na Marco Chali tofauti na watu walivyotegemea kwamba muimbaji huyo mkongwe atafanya kazi na Harmonize baada ya kufanya project kadhaa za pamoja.

Chillah amesema kwasasa yeye ni msanii huru ambaye anaweza kufanya kazi na mtu yeyote ili muziki wake uende mbele.

Katika hatua nyingine muimbaji huyo amedai yupo sawa na rais huyo wa Konde Gangs ingawa anashangaa yeye anasupport kazi Harmonize lakini Harmonize hapost za kwake.

Pia amedai bifu la Harmonize na Diamond halijamsaidia chochote huku akifafanua kwanini wakati ule alikuwa anasema Harmonize ndio msanii mkubwa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW