Burudani

Queen Darleen adai akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa (Video)

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamba mtu akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa kabisa. Muimbaji huyo aliyasema hayo mapema wiki hii akiwa nchini Kenya katika uzinduzi wa albumu ya Diamond ‘A Boy From Tandale’

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents