Quick Rocka alivyojiachia ndani ya uzinduzi wa bia ya Budweiser Dar (Video)

Jumamosi hii jijini Dar es salaam katika kiota cha burudani cha Element kulikuwa na tukio la uzinduzi wa kinywaji cha Budweiser ambapo mastaa mbalimbali wa muziki walihudhuria huku Quick Rocka akionekana kuufanya usiku huo kuwa special.

Usiku huo pia ulipambwa na burudani kutoka kwa DJ wa Kimataifa kutoka nchini Uingereza, Martin Smoove ambaye alipiga midundo mikali na kuwafanya mashabiki waliohudhuria show hiyo kutoa shangwe wakimaanisha kumwelewa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW