Habari

Rais Magufuli aagiza jengo la Tanesco kuvunjwa

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amekagua ujenzi wa daraja la ghorofa tatu barabara ya Ubungo, na ameamuru sehemu ya jengo la TANESCO na jengo la Idara ya maji kwenye eneo la barabara kuvunjwa.

Soma taarifa:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents