Habari
Rais Magufuli afanya uteuzi wizara ya ardhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Bibi Mary Gasper Makondo kuwa Kamishna wa Ardhi.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo