Tia Kitu. Pata Vituuz!

Rais Magufuli afunguka haya katika hafla ya utiwaji saini, mkataba wa mauziano mahindi na WFP (+ Video)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka mengi katika halfa iliyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam ya utiwaji saini mkataba wa mauziano ya zao la mahindi kati ya wizara ya kilimo na shirika la WFP.

Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwemo makatibu wakuu, Waziri na Naibu Waziri katika sekta husika Mkuu wa Majeshi Tanzania, IGP na wengineo wengi, Mh. Rais ameonga haya:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW