Habari
Rais Magufuli amteua Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua Tixon Tuliangine Nzunda, kuwa kuwa Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo