Habari

Rais Magufuli aupokea ujumbe wa Mfalme wa Oman

Mfalme wa Oman amuahidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ushirikiano uwekezaji sekta ya viwanda, nishati na kuongeza thamani ya madini.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt. Mohamed Hamad Al Rumhy alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 18, 2017(PICHA NA IKULU)

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents