Habari

Rais Magufuli awaonya Ma-DC kuhusu sheria ya kutia watu ndani, awataka watumie njia hii (video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wakuu wa Wilaya kutumia vizuri sheria inayowaruhusu kuweka watu ndani kwani wameanza kuitumia vibaya.

Rais Magufuli amesema hayo leo Januari 29, 2019, Ikulu Jijini Dar Es Salaam kwenye hafla ya kuwaapisha Majaji aliowateua wiki iliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents