Habari
Rais Magufuli awasili Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewasili Zanzibar, kushiriki kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Siku ya Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Soma taarifa kamili: