Habari

Rais Magufuli azungumza na Kamishna wa Kupambana na Dawa za Kulevya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Bw Rogers William Siyanga ambae amemhakikishia kazi ya kukabiliana na tatizo la biashara na matumizi ya dawa za kulevya.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents