Habari

Rais Magufuli katengua uteuzi wa waziri Charles Kitwanga

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kaamua kutengua uteuzi wa wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.

Rais Magufuli amemfuta waziri Kitwanga kutokana na waziri huyo kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.

barua

Hii ndio video ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu maswali hayo Bungeni huku akidaiwa kuwa amelewa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents