Habari

Rais Obama na mastaa wengine wa muziki Marekani waiombea Oklahoma iliyokumbwa na Kimbunga

Mji wa Oklahoma wa jimbo la Oklahoma la nchini Marekani Jumatatu ya wiki hii (May 20) ulikumbwa na kimbunga kikubwa kilisababisha vifo vya takribani watu 50 nusu yake wakiwa ni watoto wa shule.

Oklahoma

Tukio hilo limewagusa watu wengi wakiwemo mastaa mbalimbali, ambao wametumia nafasi zao kuwaombea na kuwafariji waathirika wa kimbunga hicho.

Kupitia mtandao wa twitter Rais wa Marekani Barrack Obama pamoja na baadhi ya mastaa wakiwemo Alicia Keys, Rihanna, Katy Perry, Chris Brown na wengine wamechukua jukumu la kuwafariji na kuwaombea wote walioathirika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents