Burudani

Rapper Phyno amjibu aliyemwambia anavaa ‘Fake’

By  | 

Rapper kutoka Nigeria, Phyno amemjibu kijana Hush Puppi ambaye alidai rapper huyo na msanii Ice Prince wanapendelea kuvaa vitu vilivyo fake.

Katika mahojiano aliyofanya na mtandao wa Punch, rapper amemjibu  Hush Puppi  kuwa haruhusiwi kuingilia maisha ya mtu na hamna mtu mwenye muda naye.

“It is very childish to brag about what I have..I care more about touching lives in positive ways. It is not really about how much you have in your bank account but how many people’s lives you have made better, amesema rapper huyo.

Ameongeza kuwa “The good thing is that I have a track record and people know what I do. So it doesn’t really make sense for me to be exchanging words with someone who just came from nowhere and has no credibility whatsoever.”

Hush Puppi ana  umaarufu zaidi kupitia mitandao  ya kijamii kutokana na kujinadi kuwa na pesa nyingi na anajua kuvaa.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments