Tupo Nawe

Ratiba ya michuano ya Afcon 2019 Misri yatoka, Samata uso kwa uso na Mane kwenye ufunguzi

Baada ya ratiba hiyo kutoka mkufunzi wa timu ya taifa Stars nchini Tanzania Emmanuel Amuneke ametabiri kwamba majina makubwa katika kimnyanganyiro hicho huenda yakayaaga mapema mashindano hayo . Nyota huyo wa zamani wa Nigeria na barcelona anafikiri kwamba timu zisizo za majina makubwa katika mchezo huo huenda zikayashangaza mataifa makubwa.

Raundi ya Kwanza
Tarehe na MudaMataifaMataifa
21.06. 23:00EgyptZimbabwe
22.06. 17:30D.R. CongoUganda
22.06. 20:00NigeriaBurundi
22.06. 23:00GuineaMadagascar
23.06. 17:30MoroccoNamibia
23.06. 20:00SenegalTanzania
23.06. 23:00AlgeriaKenya
24.06. 17:30Ivory CoastSouth Africa
24.06. 20:00TunisiaAngola
24.06. 23:00MaliMauritania
25.06. 20:00CameroonGuinea Bissau
25.06. 23:00GhanaBenin
Raundi ya pili
26.06. 17:30NigeriaGuinea
26.06. 20:00UgandaZimbabwe
26.06. 23:00EgyptD.R. Congo
27.06. 17:30MadagascarBurundi
27.06. 20:00SenegalAlgeria
27.06. 23:00KenyaTanzania
28.06. 17:30TunisiaMali
28.06. 20:00MoroccoIvory Coast
28.06. 23:00South AfricaNamibia
29.06. 17:30MauritaniaAngola
29.06. 20:00CameroonGhana
29.06. 23:00BeninGuinea Bissau
Raundi ya tatu
30.06. 19:00BurundiGuinea
30.06. 19:00MadagascarNigeria
30.06. 22:00UgandaEgypt
30.06. 22:00ZimbabweD.R. Congo
01.07. 19:00NamibiaIvory Coast
01.07. 19:00South AfricaMorocco
01.07. 22:00KenyaSenegal
01.07. 22:00TanzaniaAlgeria
02.07. 19:00BeninCameroon
02.07. 19:00Guinea BissauGhana
02.07. 22:00AngolaMali
02.07. 22:00MauritaniaTunisia

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW