Tupo Nawe

Rayvanny afunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wa Naogopa “Huyo msanii ntamfunga” – Video

Rayvanny afunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wa Naogopa "Huyo msanii ntamfunga" - Video

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka leboya WCB Rayvanny amefunguka kuhusu tuhuma za kuiba wimbo wake mpya wa ‘NAOGOPA’

Akiongea na Bongo5 Rayvanny ameiomba serikali kuingilia kati lakini pia akisema endapo huyu msanii ataendelea kulalamika basi yeye ataenda kwenye vyombo vya dola maana ushahidi wote kuwa huo wimbo ni wa kwake anao:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW