Burudani ya Michezo Live

RC Ayoub wa Kusini Unguja: Kufika tu, Machangudoa wakakimbia (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohamed amefunguka kueleza mpango mkakati wake mpya ndani ya mkoa huo mpya baada ya kufanya vizuri Mkoa wa Mjini Magharibi.

Mhe Ayoub amesema atahakikisha wananchi wa chini wa eneo hilo wananufaika na fursa mbalimbali za kiubunifu ambazo atazianzisha.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW