DStv Inogilee!

RC Makonda, Gardner, AY na mastaa wengine wamlilia Kibonde

Kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde kilichotokea alfajiri ya Alhamisi hii mkoani Mwanza kimewashitua watu wengi kutokana na mtangazaji huyo kushiriki msiba wa aliyekuwa bosi wake, Ruge Mutahaba aliyezikwa Jumatatu hii huko Bukoba.

Baada ya Clouds Fm kutangaza kifo chake mastaa, viongozi na wadau mbalimbali wameanza kutoa salamu zao za rambirambi kwa familia yake pamoja na kwa Clouds Media.

Hizi ni baadhi ya salamu zilizotolewa.

RC Makonda

Kifo Cha Kibonde kimeacha swali moja tu. Mahusiano yako na Mungu yakoje?. RIP Kibonde

AY

Nimestushwa sana na taarifa ya kifo chako Kaka yangu…Pumzika kwa Amani Kaka Yangu #EphraimKibonde…Tumeshirikiana kwenye Mengi ya Kikazi na Familia..Pumzika kwa Amani Wakukaja 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿.

Professor Jay

Hii ni SIRI yake Mungu aliye Hai na sisi Binadamu Hatujui SIKU wala SAA, 
Tuwaombee wapendwa wetu Watangulie salama na Wapumzike kwa Amani nasi Tunafuatia,
Pole sana kwa Familia za marehemu na ndugu zetu wa @cloudsfmtz @cloudstv
KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSA🙏🙏

View this post on Instagram

Rest in Paradise Bro……🙏🏻

A post shared by Chibu Dangote..! (@diamondplatnumz) on

View this post on Instagram

R.I.P MY BIG BROTHER #KIBONDE

A post shared by C H U M A (@rayvanny) onView this post on Instagram

💔💔…Kaka Ephraim.

A post shared by Falsafa,The Choirmaster (@mwanafa) on

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW