Tupo Nawe

RC Makonda: Mtoto wa Mbowe ni mmoja kati ya waathirika wa Corona (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam @baba_keagan amesema Mwenyekiti wa CHEDEMA Mbowe amesitisha mikutano ya hadhara baada ya mtoto wake kukutwa na virusi vya Corona. Amesema hayo asubuhi ya leo akiwa stendi ya mabasi ya Ubungo akizungumza na wasafiri wa kwenda mikoani ili wachukue tahadhari kuhusu virusi hatari vya corona.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW