Redds Miss Ilala Kupatikana Leo


Shindano la kumtafuta mrembo wa Miss Redds Kanda ya Ilala ambaye ataiwakilisha kanda hiyo katika mashindano ya Miss Tanzania katika ngazi ya ki taifa baadae mwezi ujao linatarajiwa kufanyika leo usiku katika kiota cha burudani Nyumbani Lounge kilichopo eneo la Namanga jijini Dar-Es-Salaam.
Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro kulia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu fainali ya redds Miss kanda ya Ilala inayotarajia kufanyika leo ijumaa katika ukumbi wa Nyumbani Lounge.katikati ni Mratibu wa shindano hilo Juma Madabila na Msanii Steven Nyerere.” width=”640″ height=”427″ class=”alignnone size-full wp-image-19803″ />

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents