Rich Mavoko afunguka kusainiwa na Harmonize, Nilishangaa sana kuona ameandika vile hata hakunipigia simu (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @tic hmavoko amefunguka kuhusu zile stori za kusainiwa na @harmonize_tz katika lebo ya @kondegang. Mavoko ameeleza kuwa yeye alishangaa kuona hizo habari mtandaoni huenda @harmonize_tz alijisikia kuandika tu maana ni mtu ambaye tangu zamani alikuwa rafiki yake hata wakati yupo WCB.

Mbali na hilo @richmavoko amezungumzia kuhusu kutumia akaunti yake ya Rich mavoko ambayo iliaminika ipo chini ya WCB na kuhusu kutumia nyimbo alizofanya chini ya @diamondplatnumz

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW