Burudani

Robert Downey Jr. ndiye muigizaji anayelipwa fedha nyingi zaidi Hollywood – 2013

Orodha ya mwaka 2013 ya Forbes ya waigizaji wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi imetoka na nafasi ya kwanza imeshikwa na ‘Mwanaume wa Chuma’ Robert Downey Jr.

812_1361993450
Robert Downey Jr

Kwa kipindi cha June 2012 na June 2013 muigizaji huyo ameingiza dola milioni 75. Wengine ni pamoja na:

2. Channing Tatum -$60 million

hot-channing-tatum-18
3. Hugh Jackman – $55 million

hugh-jackman-600x493

4.Mark Wahlberg – $52 million

mark-wahlberg-600x450

5.Dwayne Johnson aka The Rock – $46 million

The-Rock-wwe-champion-hd-wallpapers.jpg

Watano wa mwisho ni pamoja na: 6.Leonardo DiCaprio, $39 million, 7. Adam Sandler, $37 million,8. Tom Cruise, $35 million, 9. Denzel Washington ($33 million) na 10. Liam Neeson ($32 million).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents