Soka saa 24!

Saratani ya ngozi ni janga kwa albino: Kati ya vifo kumi, vitatu vinasabishwa na saratani (Video)

Chama Cha Albino Tanzania kwa kwa kushirikiana na Imetosha Foundation Jumatatu hii wamefanya zoezi la kupima bure watu wenye ulemavu wa ngozi albinism pamoja na kuwapatia matibabu bure.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW