Tupo Nawe

Serikali ya Uingereza yatangaza hakuna michezo itaruhusiawa angalau hadi Juni 1

Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa hakuna michezo itaruhusiwa kuendelea kipindi hiki hata kama ni bila mashabiki.

Taarifa ya serikali imeeleza kuwa zuio hilo ni hadi Juni 1, 2020 ambapo utatangazwa muelekeo mpya kutokana na mwenendo wa janga la Corona utakavyokuwa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW