Burudani ya Michezo Live

Sheikh Sharif Majini atangaza kugombea Ubunge ‘Wabunge nitawafundisha kupiga nyungu’ Video)

Sheihk Sharrif Majini ametangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi huku akijinadi kwamba ana uhakika anakubalika na ana uwezo mkubwa wa kuongoza. Amesema akiingia Bungeni atawatetea wananchi wake pamoja kutoa elimu kuhusu umuhimu wa tiba asili pamoja na kuwafundisha Wabunge jinsi yakupiga nyungu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW