Habari
Sheikh Sharrif Majini atabiri Uchaguzi Mkuu 2020 ‘Tundu Lissu ana nyota ya nge, ni mapambano (Video)
Mtabiri wa nyota @sheikh_sharifu_majini amezichambua nyota za wagombea urais kupitia vyama mbalimbaliMajini ameichambua nyota ya mgombea Urais Chadema, Tundu Lissu na kudai nyota yake haina nguvu kumshinda Rais Magufuli.