Habari

Sheikh wa Dar Alhajj Mussa amjibu Sheikh Iddi aliyeponda dua yake ambayo ilitaja ‘kwa jina la yesu washindwe’ (Video)

Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Sheikh Alhajj Mussa Salim amemjibu Sheikh Mohamed Iddi ambaye aliiponda dua yake ambayo aliitoa kwenye mkutano wa CCM ambayo ndani yake kulikuwa na kauli ya washindwe kwa jina la yesu.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents