Aisee DSTV!

Shilole asimamisha kikao baada ya kiingereza kumvuruga, Wolper amtolea uvivu mbele ya kadamnasi (Video)

Mwanamuziki Shilole, Jumanne hii ameamka na kuibua zogo katikati ya kikao cha wawekezaji wa kampuni ya ‘SwahiliFlix’ ambao wamekuja kuwekeza kwenye filamu baada ya mzungumzaji wa kikao hicho kuonekana akitumia zaidi lugha ya Kingereza ambayo msanii huyo amedai wasanii wengi hawaifahamu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW