AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Shilole azua gumzo wakati droo ya tatu ya Shinda na Sim Account kutoka CRDB ikichezeshwa (Video)

Kingereza cha Shilole chazua gumzo wakati CRDB wakiwatangaza washindi wa droo ya tatu ya Shinda na Sim Account . Katika ndoo ya leo mshindi wa milioni 2 ni Mbwana Cathbeth Lusingo na mshindi mwingine wa milioni moja ni mwanadada Adela Mohamed. Ili na wewe ushinde unatakiwa kupiga *150*62#.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW