Habari

Shirika la ndege la Israel, Al Israel Airlines kuzindua safari zake za Tanzania mwezi April

Mwezi April, Tanzania itapokea watalii wengi kutoka Israel, pale shirika lenye makazi yake jijini Tel Aviv la El Al Israel Airlines litakapoanzisha safari za mara moja kwa wiki kwenye uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro, KIA.

4X-ECF-El-Al-Israel-Airlines-Boeing-777-200_PlanespottersNet_228052

Takriban watalii 150 kutoka Israel watakuwa wakija Tanzania kila wiki na hivyo kuleta watalii 600 Israeli kila mwezi.

Wengi wa watalii hao watakuwa wakija kwaajili ya kupata Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro Crater, Mbuga ya wanyama ya Serengeti, Hifadhi ya taifa ya Tarangire, Arusha na ziwa Manyara.

Chanzo: eTurboNews

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents