Burudani

Siku za Lina Zinakaribia..

Kuashiria siku zinakaribia, mama kijacho huyo wa bongo flava, Linah Sanga ametuonyesha muonekano wa kitanda cha mwanae.

Kitanda hicho cha mtoto kimepostiwa kupitia Instagram ya mwanamuziki huyo, huku kikiwa kimepambwa na midoli na mito.

Linah ambaye amekataa kutaja jinsia ya mtoto wake mtarajiwa ila tu kututajia herufi ya jina la mtoto wake kuwa ni “T” ameendelea kupost picha mbali mbali za ujauzito wake huku akiwa na furaha.

Hili sio jambo la kushangaza kwa kipindi hiki, kuona mastaa wakionyesha kufurahia hali zao za ujauzito na ujio wa watoto katika maisha yao.

Hizi ni baadhi ya comment:
amxoxodiva@officiallinah achana nae mumy
angellalasheNice my

jackcutebby@officiallinah achna nao mtoto wako maamuzi ni yako Veep kupangiana cha kumfania mtoto.kwani umewapelekea wao au walikupa pesa ukafanye shopping ya mtoto wako.jamani wewe @jacuemasha na @mussa5733 kwani nyie Veep ujue MTU akiwa katika hali hiyo hasa kwa uzazi wa kwanza tena wa sio wa bahati mbaya au sikutegea akuwaga na shamshamu Jamani mwacheni afanye anachotaka mweeeh hata akimununulia bundi mwacheni ukooooo mfyuuuuuu

zenaycechanzinhoHahaaaaa…the povu the loading……..bdo najifunza kiingereza jmn so….quiet plz.????????????

mussa5733Linah sanga ukweli ndio huo ni ushauli tu wala hatuna chuki na wewe,hiyo sio midoli ya beby mtarajiwa my dea,

sophie6086Tukutane leba mama k na Mungu atufanyie wepesi siku hiyo

mussa5733Jack,Punguza povuuu Mfyuuuuu mpe ushauli sio kusifia ujinga ili uonekane umecomment hiyo mido hapana

gracelove4113Hiyo midol au mizuka mmmh tafta mingne mizur hiyo too much mtt atazmia

tinaismailstanleymidol nimizur umefanya vitu vyakizungu courage

freedomofopinionand_expressionHahahahahahahahaha watu jamani mmenichekesha kweli na hiyo midoli cjawah comment hapa asee you people have made my day

cunique_decoSi vyema kujibizana harafu ktk hiyo hali,achana nao wakisema waache waseme kwani wewe ndio muamuzi na watabaki kusema lakn hawawezi pangua.achana nao jali yako mama @officiallinah

jackline9523Hahahaha hiy midol tu mi hoi.

japhetbwireWe lina yoko we tuliza kitumbo ucjibu watu unataka mchambo au mdudu then hyo midoli mnafanana ka bwana lako lilivyo jeuc km oil chafu. Msonyoooooo

Na Laila Sued.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents