Burudani

Sina mimba, mniache – Lady Jaydee

Lady Jaydee amekasirika. Ni baada ya followers wake kumhisia kuwa ana ana ujauzito kutokana na picha aliyoiweka Instagram.

11017632_1560363950897891_581766803_n

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lady Jaydee ameandika:

Imebidi nifute post, Ili nielezee upya, hivi watu hamuelewi kiswahili au ni nini ??? Nimesema tumbo limevimba sababu ya sahani, nikimaanisha mlo na nili post nakula hapo awali, Sasa hayo maneno mengine yanatokea wapi?, Au niwe naandika kichina? Kwani mliambiwa nitazaa Rais atakaewatoa ktk shida zote mpka mnishikilie mimba mimba, Hebu niacheni basi khaaa, Nisiishi Kisa mimba? Aisee mnaboa sana, Basi niueni Kisa sijazaa, Ili niwaondolee kero kabisa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents