Burudani

Single mpya ya marehemu Goldie yatoka, ‘Ika Maarun’ (Isikilize na kudownload hapa)

Goldie Harvey amefariki lakini sauti yake kwenye muziki bado itaendelea kusikika kutokana na wimbo wake mpya uitwao Ika maarun kutoka. Katika wimbo huo Goldie amemshirikisha msanii wa Afrika Kusini, Anatii.

goldie 22

Ni miezi miwili sasa tangu Goldie afariki dunia February 14, 2013. Kabla ya kifo chake alikuwa amesainiwa kwenye label Kennis Music. ‘Ika maarun’ ingetoka kama single kwenye albam yake ya tatu, ‘Africa Invasion‘.

Isikilize hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents