Burudani

Sitti Mtemvu kuzindua taasisi, kitabu na kipindi chake cha TV May 2

Aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2014 na baadaye kulivua taji lake, Sitti Mtemvu, anatarajia kuzindua taasisi yake ya ‘Sitti Tanzania’, kitabu chake na kipindi cha TV kiitwacho ‘Chozi la Sitti.’

11084851_847979435267838_654524946_n

Uzinduzi huo utafanyika May 2 kwenye ukumbi wa Mlimani City na utapambwa na burudani kutoka kwa Yamoto Band.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents