Muziki
Song: Remmy Williams – Africa
Sikiliza ngoma ya mpya kutoka kwa Remmy Williams mtanzania anayefanyia muziki nchini Italia. Kwenye wimbo huu, Remmy amewashirikisha King Ruston, Moses Thomas& Mirror Rhymes. Wimbo umefanyika kwenye studio za Overclassic na video imefanywa na kampuni ya E-Media.